HATUA ZINGINE ZILIZOPIGWA KWENYE ELIMU NDANI YA MIAKA MINNE
SAMIA SCHOLARSHIP
Huu ni mpango ulioanzishwa katika kipindi cha Uongozi wa Mhe Rais Dkt Samia
wenye lengo la kuwapatia ufadhili wa masomo wanafunzi waliopata alama za juu katika mitihani ya Kidato cha Sita, hasa katika fani za sayansi, teknolojia, hesabu, na elimu ya tiba
huku bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikiratibu mpango huu Lengo kuu likiwa ni kuongeza
wataalamu katika maeneo ya Sayansi, Elimu Tiba, Uhandisi na Hisabati.
Kwa mwaka wa masomo 2023/2024, serikali ilitenga Shilingi za Kitanzania Bilioni 6 kwa ajili ya wanafunzi 640, huku mwaka wa masomo 2024/2025 kwa awamu ya kwanza kiasi cha shilingi bilioni 2.9 kikitumika na kuwanufaisha wanafunzi 588 katika miaka miwili ya mpango huu, jumla ya wanafunzi 1,2728 wamenufaika.
Mpango huu unagharamia ada ya masomo kwa asilimia 100 pamoja na posho za chakula, malazi, vitabu, na mahitaji mengine, bila ya kuwa mkopo unaopaswa kurudishwa
#Bimkubwakazininaelimu
HATUA ZINGINE ZILIZOPIGWA KWENYE ELIMU NDANI YA MIAKA MINNE
SAMIA SCHOLARSHIP
Huu ni mpango ulioanzishwa katika kipindi cha Uongozi wa Mhe Rais Dkt Samia wenye lengo la kuwapatia ufadhili wa masomo wanafunzi waliopata alama za juu katika mitihani ya Kidato cha Sita, hasa katika fani za sayansi, teknolojia, hesabu, na elimu ya tiba huku bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikiratibu mpango huu Lengo kuu likiwa ni kuongeza