DKT SAMIA AMKABIDHI ZAWADI SIR JIM WA MAN UTD
DAR ES SALAAM
Leo April 11,2025 Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, ametembelea Ikulu Ya Dar es salaam kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Baada ya mazungumzo yao Mhe.Rais Dkt Samia amemkabidhi zawadi ya picha (pichani) pamoja na Jezi ya Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) yenye ujumbe wa, “Amaizing Tanzania.
#Bimkubwakazini