AIR FRANCE KUFANYA SAFARI MARA 3 NCHINI
UFARANSA
Shirika la ndege la Ufaransa (Air France) limepanga upya ratiba ya safari zake za kuja Tanzania kuanzia katikati ya mwezi Novemba 2024 kwa kutumia njia ya Parisi-Zanzibar –Kilimanjaro badala ya Paris-Dar es salaam –Zanzibar kama ilivyokuwa hapo awali na kwa mujibu wa ratiba shirika hilo litarusha ndege mara 3 kwa wiki kuja nchini.
