ZIARA YA BIMKUBWA DKT SAMIA MKOANI TANGA FEBRUARI 23 HADI MACHI 2, 2025

 

ZIARA YA BIMKUBWA  DKT SAMIA MKOANI TANGA FEBRUARI 23 HADI MACHI 2, 2025

ZIARA YA BIMKUBWA  DKT SAMIA MKOANI TANGA FEBRUARI 23 HADI MACHI 2, 2025

TAR 26 FEBRUARI
Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) – Saadani, na Tanga – Pangani:-  Daraja la Pangani lina urefu wa mita 525, Serikali imetoa kiasi cha sh Bil 290 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa barabara kutokana Tanga Pangani hadi Tungamaa (km 256) Kwa kiwango Cha lami.
Barabara hii inagharamiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100.

Kuzindua Boti za Uvuvi na Boti za Kilimo cha Mwani na Kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Pangani Uwanja wa Kumba:- Jumla ya boti 34 za kisasa za uvuvi, zitatolwa na Mhe Rais Dkt Samia  lengo  likiwa ni kuboresha shughuli za uvuvi, kukuza uchumi wa buluu, na kuimarisha ulinzi wa raslimali za bahari.

Kuweka Jiwe la Msingi la Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa na Kuzungumza na Waumini.

Tupo Tanga, hamna mtu atakosa kitu…