TSH BIL 23 ZAJENGA BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI

TSH BIL 23 ZAJENGA BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI

TSH BIL 23 ZAJENGA BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI 

ARUSHA
Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 23 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mianzini-Ngaramtoni Km 18 Mkoani Arusha ujenzi ambao unatekelezwa na mkandarasi Stecol Corporationna unatarajiwa kukamilika septemba 2025.
Mpango wa serikali ni kuzijenga barabara zote unganishi na wezeshi jijini Arusha ili kupunguza msongamano wa magari na kuendana na maandalizi ya mashindano ya kombe la mataifa ya Africa AFCON 2027