TSH BIL 114+ KUJENGA BARABARA NA MADARAJA LINDI
LINDI
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha Zaidi ya shilingi bilioni 114 kwa ajili ya ujenzi wa miradi 13 ya barabara na madaraja mkoani Lindi.
Miradi hiyo inatekelezwa na mkandarasi China Henan anayejenga sehemu ya Somanga na Mkandarasi mzawa Makapo anajenga daraja la Mikereng'ende ambalo limefikia asilimia 25 ya ujenzi.
Tunapatikana Instagram,Facebook,X, TikTok, YouTube:-BimkubwaTanzania.
