DKT SAMIA NA WAKUU WENGINE WA NCHI KWENYE MKUTANO WA NISHATI

 

DKT SAMIA NA WAKUU WENGINE WA NCHI KWENYE MKUTANO WA NISHATI

DKT SAMIA NA WAKUU WENGINE WA NCHI KWENYE MKUTANO WA NISHATI

DAR ES SALAAM
Pichani ni wakuu wa nchi za Afrika wanaoshiriki katika mkutano wa nishati  wakiongozwa na Rais mwenyeji Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika kituo cha mikutano cha  Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam (Leo Januari 28, 2025 ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo).
Jumla ya MaRais kutoka nchi 24 barani Afrika wanashiriki, wawakilishi wa wakuu wa nchi  21,  wakuu sita kutoka katika Taasisi za kimataifa na Marais wawili kutoka benki ya Dunia Bw. Ajay Banga na Benki ya maendeleo Afrika Dkt. Akinumwi Adesina pamoja na washiriki wengine 2600 kutoka ndani nan je ya Tanzania.
Agenda kuu ya mkutano huu ni kuwafanya waafrika wapatao milioni 300 kufikiwa na umeme ifikapo mwaka 2030.