RAIS SAMIA AMPONGEZA NETUMBO,KUCHAGULIWA RAIS WA NAMIBIA

 

RAIS SAMIA AMPONGEZA NETUMBO,KUCHAGULIWA RAIS WA NAMIBIA

RAIS SAMIA AMPONGEZA NETUMBO,KUCHAGULIWA RAIS WA NAMIBIA 

TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa NAMIBIA kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo.
Kupitia mitandao ya KIJAMII Mhe Rais Samia ameandika
"On behalf of the Government and the People of the United Republic  of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations to Her Excellency Netumbo Nandi-Ndaitwah, President-elect of the Republic of Namibia, on your historic victory in the 2024 Namibian general election.
I am looking forward to working with you in strengthening the all-weather fraternal bonds and historical ties between Tanzania and Namibia"
(Tafsiri)
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Netumbo Nandi-Ndaitwah, Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, kwa ushindi wako wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa 2024 nchini Namibia.
Ninatarajia kufanya kazi nawe katika kuimarisha uhusiano wa kindugu  na uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia.