DKT SAMIA AMPONGEZA DUMA BOKO KUCHAGULIWA RAIS WA BOTSWANA

 

DKT  SAMIA AMPONGEZA  DUMA BOKO KUCHAGULIWA RAIS WA BOTSWANA

DKT  SAMIA AMPONGEZA  DUMA BOKO KUCHAGULIWA RAIS WA BOTSWANA

TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mhe  Duma Boko, Rais Mteule wa Jamhuri ya Botswana.
Kupitia mitandao ya kijamii Mhe.Rais Samia ameandika kwamba “To His Excellency Duma Boko, President-elect of the Republic of Botswana; on behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey my heartfelt congratulations on your victory in the 2024 Botswana general election. I also salute His Excellency President Mokgweetsi Masisi and the Botswana Democratic Party (BDP) leadership for their commitment to ensuring a smooth transition. Your Excellency, President-elect, we look forward to working closely with you to further strengthen our long-standing bilateral ties.
Kwa Mheshimiwa Duma Boko, Rais Mteule wa Jamhuri ya Botswana; kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa ushindi wako katika uchaguzi mkuu wa 2024 Botswana. Pia nampongeza Mheshimiwa Rais Mokgweetsi Masisi na uongozi wa Botswana Democratic Party (BDP) kwa kujitolea kwao kuhakikisha mabadiliko yanafanyika vizuri. Mheshimiwa Mwenyekiti, Rais Mteule, tunatazamia kufanya kazi kwa karibu nawe ili kuimarisha zaidi uhusiano wetu wa muda mrefu kati ya nchi hizi mbili.