TANZANIA NA JAPAN KUJENGA FLYOVER MOROCCO, DAR
DAR ES SALAAM
Serikali ya Tanzania imeanza mazungumzo na Japan kwa ajili ya kushirikiana katika uboreshaji wa miundombinu hususan ujenzi wa barabara ya juu (FlyOver) katika eneo la Morocco jijini Dar es Salaam hatua itakayopunguza msongamano wa magari na kurahisisha shughuli za kiuchumi.
Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatailia kwenye mitandao yetu @BimkubwaTanzania.
