WAKULIMA WA PAMBA WAKABIDHIWA ZANA ZA KILIMO
TABORA
Serikali katika kuwaongezea vitendea kazi wakulima mkoani Tabora imegawa zana za kilimo ,trekta 400, pikipiki 1000, baiskeli 2500, boza 58 (kwa ajili ya viuatilifu vya dawa) na mbolea hai lita 3000.
ZINGATIA:- Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia inalenga kuendelea kuwekeza kwa wakulima ili wazalishe mazao kwa tija hatua itakayoongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.