DKT SAMIA AZUNGUMZA NA PRINCESS SOPHIE

 

DKT SAMIA AZUNGUMZA NA PRINCESS SOPHIE

DKT SAMIA AZUNGUMZA NA PRINCESS SOPHIE

DAR ES SALAAM
Mhe.Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Sophie, Duchess wa Edinburgh (Sophie Helen Rhys-Jones, amezaliwa 20 Januari 1965) ni mwanachama wa familia ya kifalme ya Uingereza. Ameolewa na Prince Edward, Duke wa Edinburgh, mdogo wa Mfalme Charles III.
 Kaa nasi kwa taarifa zaidi.