VYANZO VYA MAJI 3,265 VYATAMBULIWA

 

VYANZO VYA MAJI 3,265 VYATAMBULIWA

VYANZO VYA MAJI 3,265 VYATAMBULIWA

TANZANIA
Serikali imeendelea na utekelezaji wa programu maalum ya Uhifadhi wa Vyanzo vya Maji iliyoanza mwaka 2021 ambapo inatarajia kukamilika mwaka 2035.
Kupitia programu hiyo, Serikali imetambua vyanzo vya maji 3,265 vinavyohitaji kuhifadhiwa ambapo vyanzo 316 vimewekewa mipaka na vyanzo 59 vimetangazwa kuwa maeneo lindwa ya vyanzo vya maji.