USANIFU WA MADARAJA KUKAMILIKA SEPTEMBA 2024.
DODOMA
Serikali kupitia TAMISEMI imesema septemba 2024 (mwezi huu) inatarajia kukamilisha usanifu wa madaraja yaliyoharibika kutokana na mvua za elnino mwaka 2023/24 ili kujiridhisha na uharibifu uliofanyika na mara utakapokamilisha ujenzi utaanza mara moja.