UKUMBI WA SHULE YA DKT.SAMIA SULUHU HASSAN,NAMTUMBO
RUVUMA
Muonekano wa Ukumbi wa sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma inayoitwa Dkt Samia Suluhu Hassan wenye uwezo wa kuchukua watu 1,500.
Sekondari hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1,000 wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita imejengwa eneo la Migelegele wilayani Namtumbo kwa gharama ya shilingi bilioni 4.45
Aidha hadi sasa jumla ya wanafunzi 600 wanasoma katika shule hiyo.