MHE RAIS DKT SAMIA KUFANYA ZIARA MKOANI RUVUMA
Mhe. Rais Dkt Samia anatarajiwa kufanya ziara Mkoani Ruvuma kuanzia Septemba 23 hadi 28, 2024
Pamoja na mambo mengine Mhe Rais Dkt Samia tarehe 23 mwezi huu atafunga tamasha la utamaduni ambalo limezinduliwa ( leo) Septemba 20, 2024 wilayani Songea Mkoani Ruvuma.
#HABARIGANIRUVUMA?