TSHS BIL 11.583 KWENYE MIRADI YA BARABARA NJOMBE
NJOMBE
Mwaka wa fedha 2023/24 Mkoa wa Njombe ulipokea fedha kiasi cha shilingi bilioni 11.583 bajeti ya Matengenezo na Maendeleo ya Barabara mkoani humo.
Matumizi ya fedha hizo ni Sh. Bil 7.979 kimetumika kwenye miradi ya Ushoroba wa Kiuchumi na kiasi kilichosalia kikienda kwenye Barabara Zilizopandishwa Hadhi na Barabara zilizoathiriwa na Mvua.
Aidha Matumizi na utekelezaji wa fedha hizo unaendelea na umefikia 88.3%.