TSH BIL 678 ZAJENGA MATENKI YA MAFUTADAR ES SALAAMSerikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 678 kwa ajili ya Ujenzi wa matenki 14 ya mafuta (Dizeli & petrol) maeneo ya Tungi kigamboni jijini Dar es salaam.Uwepo wa mradi huu unaenda kuongeza kasi ya upatikanaji wa mafuta ikiwemo bandarini.