TSH BIL 206+ ZA DKT SAMIA KWENYE UTAWALA

TSH BIL 206+ ZA DKT SAMIA KWENYE UTAWALA

TSH BIL 206+ ZA DKT SAMIA KWENYE UTAWALA

RUVUMA
Serikali ya awamu ya sita ilipoingia madarakani mwaka 2021 ilitoa  fedha kiasi cha shilingi bilioni 206.7  kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya utawala,nyumba za wakurugenzi na nyumba za wakuu wa idara katika maeneo mbalimbali nchini.
Hadi hivi sasa jumla ya majengo 67 ya utawala yameshajengwa na kukamilika na majengo 60 ujenzi wake unaendelea.