SERIKALI YASAINI MKATABA WA SH BIL 72.8 ILI KUBORESHA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

 TAZAMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=Ld--qs6fih4

https://www.youtube.com/watch?v=Ld--qs6fih4

SERIKALI YASAINI MKATABA WA SH BIL 72.8 ILI KUBORESHA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

KATIKA jitihada za kuunga mkono juhudi za serikali za kutoa nishati safi ya kupikia, Wakala wa Nishati Vijijini (REA)septemba 13, 2024 umesaini mkataba wa Shilingi bilioni 72.8 na Idara ya Magereza, Jeshi la Kujenga Taifa na wasambazaji wanne wa Gesi ya Kimiminika (LPG).