MAKAMPUNI 8,523 YA KUTOA LESENI ZA VIWANDA YASAJILIWA

MAKAMPUNI 8,523 YA KUTOA LESENI ZA VIWANDA YASAJILIWA

MAKAMPUNI 8,523 YA KUTOA LESENI ZA VIWANDA YASAJILIWA

TANZANIA
Serikali ya awamu ya sita imesajili Makampuni 8,523 kati ya 7,500 yaliyokusudiwa sawa na 114% na kutoa leseni za viwanda 118 kati ya 100 zilizokuwa zimepangwa sawa na 118%. 
Vilevile, Serikali imeendelea kuratibu mradi wa maandalizi ya Kongani ya Viwanda ya Kwala ambapo hadi sasa ujenzi wa barabara kuu ya ndani, jengo la utawala, jengo la zimamoto, jengo la hosteli, majengo mawili ya viwanda na jengo la kufundishia mafundi umekamilika.
Aidha, viwanda viwili vimeanza uzalishaji katika eneo hilo.