MADINI YACHANGIA TSH TRIL 6.4 UCHUMI WA TAIFA

 

MADINI YACHANGIA TSH TRIL 6.4 UCHUMI WA TAIFA

MADINI YACHANGIA TSH TRIL 6.4 UCHUMI WA TAIFA

RUVUMA
Jitihada zinazofanywa na serikali za kuweka mazingira wezesi kwa wachimbaji wa madini nchini zimeleta manufaa baada ya wizara ya madini kuchangia kiasi cha shilingi trilioni 6.4  katika uchumi wa taifa kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Kwenye kiasi hicho cha fedha, Zaidi ya 40% ya mapato hayo yalitoka kwa wachimbaji wadogo. 
Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa nchi ameonya uchomaji moto mashambani kwani vitendo hivyo vinaharibu mazingira na misitu iliyohifadhiwa.
Vile vile  Rais Samia amewataka wananchi wa wilaya hiyo kufanya kazi kwa bidii hasa katika sekta ya kilimo ili kuendelea kuchangia mapato.