ELIMU BILA ADA YAWAGUSA WANAFUNZI 1,076,037TANZANIAIdadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza imeongezeka kutoka wanafunzi 425,743 mwaka 2016 Mpango wa Elimumsingi bila Ada ulipoanza hadi wanafunzi 1,076,037 mwaka 2024 sawa na ongezeko la 152.74%.