VITUO 75 VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA
MOROGORO
Serikali itatumia kiasi cha shilingi trilioni 4.42 kwa ajili ya ujenzi wa vituo 75 vya kupozea umeme nchini ambapo hadi sasa jumla ya vituo 8 vimejengwa na kuanza kazi na vingine 6 vinajengwa na vimefikia 97% ya ujenzi wake.
ZINGATIA:- Kabla ya mwaka 2021 nchi ilikuwa ina vituo 61 tu vya kupokea na kupoza umeme.