KASULU WAJENGEWA NYUMBA 17 WATUMISHI AFYASerikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imejenga nyumba 17 kwa ajili ya watumishi wa Afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Kasulu mkoani Kigoma.