TSH BIL 8+ KUIMARISHA HUDUMA ZA UCHUNGUZI (AFYA)Jumla ya shilingi 8,596,534,400.00 zimepangwa kutumika kwa ajili ya kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.