TSH MIL 500 ZAJENGA KITUO CHA AFYA MASASIMTWARAKiasi cha shilingi milioni 500 kimekamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mtandi wilayani Masasi Mkoani Mtwara.Kituo hicho kinahudumia zaidi ya wananchi 30,000 kutoka ndani na nje ya kata ya Mtandi wilayani Masasi Mkoani Mtwara.