TSH BIL 28 KUCHANJA MIFUGO NCHINIDODOMASerikali katika mwaka wa fedha 2024/25 imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 28 kwa ajili ya kurejesha zoezi la kuchanja mifugo nchini kote.Aidha wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo ya kitaifa Mhe Rais Dkt Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.