Tayari Bimkubwa Mhe. Ris Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali tayari kwa kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, leo Agosti 11 2024.