TSH BIL 157.8 KWENYE BANDARI YA MTWARA
MTWARA
Upanuzi na ukarabati wa Bandari ya Mtwara umekamilika kwa gharama ya shilingi Bilioni 157.8 hatua iliyosaidia sana kufanyika mapinduzi makubwa ya kiufanisi katika bandari hiyo kama vile kupokea meli kubwa na ndogo zenye shehena za mizigo.