TSH BIL 136.268 ZAUNGANISHA NJOMBE – MORONGA
NJOMBE
Kiasi cha shilingi bilioni 136.268 kilichotolewa na serikali ya awamu ya sita kimefanikisha kuziunganisha barabara ya Njombe-Moronga urefu wa km 53.9 ujenzi ambao umeshakamilika.
Pia mwaka 2022 serikali ilitoa kiasi cha shilingi bilioni 130 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Moronga – Makete Km 53.5 ambao ulikamilika Agosti 2022.
