TSH BIL 132.016 KUJENGA KM 78 BIGWA –MVUHAMOROGOROMradi wa Ujenzi wa barabara ya Bigwa – Kisaki sehemu ya Bigwa –Mvuha, km 78 unatekelezwa na mkandarasi M/s China railways 15 Bureau Group Corporation ya China kwa gharama ya shilingi bilioni 132.016 kwa muda wa miezi 27 kuanzia februari 2024.