KUNA KM 41107 BARABARA ZA CHANGARAWETANZANIASerikali kupitia TARURA imefanikiwa kuongeza kiwango cha barabara za changarawe kutoka Km. 24493 hadi kufikia Km. 41107.52 mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya lengo la Km. 35000 lililowekwa ifikapo mwaka 2025.