TAA 932 ZIMEFUNGWA BARABARANIKATAVI Katika kipindi cha uongozi wa Dkt Samia serikali mkoani Katavi imefanikiwa kufunga taa zipatazo 719 kwenye barabara mbalimbali zikiwa ni sawa na 77.15% na kufanya mkoa huo uwe na jumla ya taa 932 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.