TSH BIL 4.4 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO IRINGA.

 

TSH BIL 4.4 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO IRINGA.

TSH BIL 4.4 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO IRINGA

IRINGA
Manispaa ya Iringa imetumia jumla ya shilingi bilioni 4.4 kutekeleza miradi ya maendeleo
Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 2.6 zinaboresha miundombinu ya jengo la kitega uchumi linalojengwa katika eneo la stendi ya zamani,ambapo pia kunajengwa jengo la ghorofa mbili litakalotumiwa na wafanyabiashara na Shilingi 1.8 zinajenga jengo la maendeleo.