TSH BIL 4 KWA SHIRIKA LA MZINGA

 

TSH BIL 4 KWA SHIRIKA LA MZINGA

TSH BIL 4 KWA SHIRIKA LA MZINGA

TANZANIA
Katika mwaka wa fedha 2023/24 serikali kupitia Wizara ya UIinzi na Jeshi Ia Kujenga Taifa (Shirika Ia Mzinga) IiIiidhinishiwa Shilingi 4,000,000,000.00 kwa ajiIi ya ununuzi wa malighafi, vipuri, zana na mashine kwa ajiIi ya uzaIishaji wa mazao ya msingi. 
Fedha hizo zilipokelewa kabIa ya Mwezi Juni 2024 ambazo zilikuwa na lengo la KuendeIea kuzaIisha mazao ya msingi kwa matumizi ya JWTZ na vyombo vingine vya usaIama, KuendeIea kufanya ukarabati wa zana na vifaa vya kijeshi, KuendeIea kufanya tafiti za kijeshi na kiraia hususan utafiti wa bomu baridi Ia kufukuza Tembo kwenye makazi ya watu yaIiyopo karibu na hifadhi ambaIo Iimeanza kutumika.