TSH BIL 150.5 ZAJENGA BARABARA SUMBAWANGA-MATAI KASANGA

TSH BIL 150.5 ZAJENGA BARABARA SUMBAWANGA-MATAI KASANGA

TSH BIL 150.5 ZAJENGA BARABARA SUMBAWANGA-MATAI KASANGA

RUKWA
Kiasi cha fedha shilingi bilioni 150.5 kimejenga barabara ya Sumbawanga-Matai Kasanga yenye urefu wa kilometa 107.14 katika wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa.
Barabara ya Sumbawanga-Matai Kasanga Port inaunganisha ukanda wa Rukwa na nchi jirani Ya Congo (DRC) na inatarajiwa kukuza kwa kiasi kikubwa biashara  hasa katika ukanda huo unaozingatia kilimo.
Aidha serikali inatarajiwa kuanzisha usanifu wa uhandisi wa mradi wa Barabara ya Raela hadi Kikongwe katika mwaka huu wa fedha, mradi ambao utapunguza sana msongamano wa Barabara ya Mbeya-Tunduma.