TANZANIA HUZALISHA MAZIWA LITA BILIONI 3.97

 

TANZANIA HUZALISHA MAZIWA LITA BILIONI 3.97

TANZANIA HUZALISHA MAZIWA LITA BILIONI 3.97

TANZANIA
Katika mwaka wa fedha 2023/2024, uzalishaji wa maziwa umefikia lita bilioni 3.97 ikilinganishwa na lita bilioni 3.6 mwaka 2022/2023, sawa na ongezeko la 10.35%.
Aidha, usindikaji wa maziwa umefikia lita milioni 81.8 mwaka 2023/2024 ikilinganishwa na lita 77.3 mwaka 2022/2023, sawa na ongezeko la 5.8%. 
Ongezeko la uzalishaji wa maziwa limechangiwa na juhudi za Serikali za utoaji elimu ya ufugaji bora kupitia huduma za ugani. 
Pia ukusanyaji wa maziwa kupitia Vituo vya Kukusanyia Maziwa umeongezeka kutoka lita milioni 71.80, mwaka 2022/2023 hadi kufikia lita milioni 93.4 mwaka 2023/2024.