DKT SAMIA AZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA K-FINCO BI EUN
DAR ES SALAAM
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Julai 26, 2024 amekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) Bibi , Eun Jae Lee Ikulu Jijini Dar es Salaam.