DKT SAMIA AKUTANA NA MRAIS WA IEB, ÖSTROS
ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.