VIVUKO VIPYA VINANE VYAJENGWA

 

VIVUKO  VIPYA VINANE VYAJENGWA

VIVUKO  VIPYA VINANE VYAJENGWA

TANZANIA
Serikali ya Awamu ya Sita imepata mafanikio makubwa katika utoaji wa huduma za vivuko kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA). 
Katika kipindi cha kuanzia Machi, 2021 hadi Machi, 2024 serikali kupitia wizara ya ujenzi imeendelea na ujenzi wa vivuko vipya nane (08) ambavyo vipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji. 
Vivuko hivyo vikikamilika vitatoa huduma katika maeneo ya Bwiro – Bukondo, Kisorya – Rugezi, Ijinga – Kahangala, Nyakaliro – Kome, Buyagu – Mbalika, Mafia – Nyamisati na Magogoni – Kigamboni
Vilevile Serikali kupitia TEMESA imekamilisha ukarabati wa vivuko 20 vinavyofanya kazi katika maeneo mbalimbali nchini.