TSH MIL 250 KUZIUNGANISHA KILOKA NA VIJIJI JIRANI

 

TSH MIL 250 KUZIUNGANISHA KILOKA NA VIJIJI  JIRANI

TSH MIL 250 KUZIUNGANISHA KILOKA NA VIJIJI  JIRANI

MOROGORO
Serikali upitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa daraja la Kiloka( mita 12) kwa kuliwekea kingo za mto pamoja na ukarabati wa tuta la barabara liliopo katika kijiji cha Kiloka  wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoani Morogoro linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji Jirani ambalo lilisombwa na maji ya Mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu.
ZINGATIA:- Serikali imejikita kwenye ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na mvua za Elnino.