DKT SAMIA KWENYE JUKWAA LA MIUNDOMBINU
KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan leo Juni 05,2024 ameshiriki kwenye mkutano wa jukwaa la miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Saeoul nchini Korea.
Huu ni muendelezo wa mkutano ulioanza (jana ) Juni 4 ambao umekuwakutanisha wakuu wa nchi kutoka mataifa 45 ya Afrika,huku 28 wakiwakilishwa na viongozi mbalimbali huku Rais wa nchi hiyo Mhe Yoon Suk Yoel akiwa mwenyeji wa mikutano hiyo.