BIMKUBWA AHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA BIASHARA

 

BIMKUBWA AHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA BIASHARA

BIMKUBWA AHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA BIASHARA

KOREA
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Juni 5 amehutubia kwenye mkutano wa biashara uliofanyika katika hotel ya Lotte iliyopo jijini Seoul nchini Korea.
Huu ni mkutano wa pili kwa siku ya leo (juni 5) ambao Dkt Samia ameshiriki ( mapema ameshiriki kwenye  mkutano wa jukwaa la miundombinu baina ya Afrika na Korea ambao umefanyika Westin Josun,wa pili ni huu unaohusu masuala ya biashara uliofanyika katika hotel ya Lotte) yote imefanyika nchini Korea ambapo yupo kwenye ziara kuanzia Mei 31 hadi Juni 6,2024
#Bimkubwakazini