DKT SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE
DAR ES SALAAM
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo juni 23, 2024 amewaapisha viongozi wateule waliowateua siku za hivi karibuni.
Viongozi hao walioapa ni: Dkt. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii (Anayeshughulikia Utalii).