WATANZANIA 97% WAAJIRIWA MIGODINI

 

WATANZANIA 97% WAAJIRIWA MIGODINI

WATANZANIA 97% WAAJIRIWA MIGODINI

TANZANIA
Hadi kufikia Machi 2024 jumla ya ajira 19,356 zilizalishwakupitia wizara/sekta ya madini ambapo ajira 18,853 sawa na  97% zilitolewa kwa watanzania na ajira 505 sawa na 3% zilitolewa kwa wageni.
Ajira kwa watanzania kwenye migodi zitaendelea kuongezeka ikiwa ni utekelezaji wa Sheria ya Madini, Sura 123 na Kanuni za Madini (Ushirikishwaji wa Watanzania) za mwaka 2018.
Serikali kupitia Wizara ya madini imeendelea kuhakikisha kuwa watanzania wanapatiwa kipaumbele kwenye ajira zinazozalishwa katika migodi mikubwa na ya kati ya uchimbaji madini hapa nchini.