VIJANA WANAOENDA MUJIBU WA SHERIA WAONGEZEKA
TANZANIA
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa kupitia Jeshi Ia Kujenga Taifa (JKT) imeendeIea kuwapatia vijana wa Kitanzania mafunzo ya ukakamavu, kuwajengea uzaIendo na umoja wa kitaifa, na stadi za kazi.
Mafunzo kwa vijana wa kundi Ia mujibu wa sheria, na kundi Ia kujitoIea yamefanyika kwenye makambi mbaIimbaIi za Jeshi Ia Kujenga Taifa kupitia operesheni mbaIimbaIi ambapo idadi ya vijana wa kundi Ia mujibu wa sheria waIiopatiwa mafunzo imeongezeka kutoka 26,000 Mwaka wa Fedha 2022/23 hadi kufikia 52,119 Mwaka wa Fedha 2023/24.
Kati yao wavuIana ni 31,256 na wasichana ni 20,863.
Aidha, vijana 12,000 wa kujitoIea wanaendeIea kupatiwa mafunzo katika kambi mbaIimbaIi za JKT
