USIMAMIZI THABITI WA DKT SAMIA WAONGEZA UKUSANYAJI MADUHULI

USIMAMIZI THABITI WA DKT SAMIA  WAONGEZA UKUSANYAJI MADUHULI

USIMAMIZI THABITI WA DKT SAMIA  WAONGEZA UKUSANYAJI MADUHULI

TANZANIA
Kutokana na jitihada zilizofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan zimechochea ongezeko la ukusanyaji wa maduhuli ambapo katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Machi, 2024 jumla ya shilingi 548,297,119,748.13 zimekusanywa na kuwasilishwa katika Mfuko Mkuu wa Serikali ikilinganishwa na shilingi 509,389,265,413.90 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho Mwaka wa Fedha 2022/2023 sawa na ongezeko la 7.4% 
Aidha, ili kuongeza maduhuli ya Serikali, Wizara ya madini imeimarisha usimamizi na ukaguzi kwenye maeneo ya uchimbaji, masoko ya madini, vituo vya ununuzi wa madini na mipaka ya nchi