BEI YA DHAHABU ILIPANDA JULAI 2023-MACHI 2024
DODOMA
Kwa kipindi cha kuanzia Julai, 2023 hadi Machi, 2024, bei ya madini ya dhahabu kwa wakia ilipanda hadi kufikia wastani wa Dola za Marekani 2,138.01 (takribani shilingi 5,451,925.0) ikilinganishwa na bei ya wastani wa Dola za Marekani 1,854.54 (shilingi 4,729.077) katika kipindi cha Julai 2022 hadi Machi 2023.
Kuongezeka kwa bei ya dhahabu kunatokana na sababu mbalimbali ikiwemo mahitaji makubwa ya madini hayo duniani
