UPATIKANAJI WA MBOLEA NCHINI SASA NI TANI 1,052,218.4

UPATIKANAJI WA MBOLEA NCHINI SASA NI TANI 1,052,218.4

UPATIKANAJI WA MBOLEA NCHINI SASA NI TANI 1,052,218.4

TANZANIA
Katika mwaka 2023/ 2024, Wizara ilipanga kuendelea kuratibu upatikanaji na usambazaji wa mbolea nchini kwa kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima. 
Hadi Aprili, 2024 upatikanaji wa mbolea umefikia tani 1,052,218.4 ikilinganishwa na tani 819,442 mwaka 2022/2023 sawa na 123.95% ya makadirio ya mahitaji ya mbolea ya tani 848,884 kwa mwaka. 
Upatikanaji huo umetokana na tani 114,223 zilizozalishwa ndani ya nchi, tani 611,651.4 zilizoingizwa kutoka nje ya nchi na tani 326,344 bakaa ya msimu wa 2022/2023